Muhadhara wa kwanza wa ndugu yetu abuu nusayba maarufu kama Samir Khan Baada ya kuachiliwa kwa bond aliwahabarisha waumini wenzie katika masjid musa jinsi Yalivyotokea kuanzia alivyoshikwa hadi kuachiliwa kwake Tarehe 08/06/2010
Msikilize hapa upate mazingatio
download hapa
SIKILIZA ONLINE HAPA CHINI
Sikiliza na kupakua (download) mawaidha ya sheikh mselem ally mtu mwenye jicho moja
Sikiliza online hapa chini
Bismillah Rahma Rahim As salaam aleykum warahamatullah wabarakatu ndugu zangu waislamu leo nimeonelea nifungue kurasa hii kwaajili ya mawaidha quran na Nashid leo tuanze darsa ya sheikh rogo Rahmahullah Iliyotolewa mwaka 2010 Tutaanza sehemu ya kwanza hadi ya mwisho insha allah
Sikiliza hapa